Je nawezaje kukabiliana na hisia zangu baada ya kitendo cha kujiua

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Je_nawezaje_kukabiliana_na_hisia_zangu_baada_ya_kitendo_cha_kujiua

Baada ya kumpoteza mpendwa wako, kiwango cha mawazo huwa juu sana. Hapo mwanzo, hisia za kumpoteza mpendwa aliyejiuwa zitakushtua, lakini hisia za kumpoteza mpendwa, hasira, kuchanganyikiwa, majuto na huzuni yaweza kukudhoofisha. Na huo sio mwisho wa mawazo, sababu itabidi ukabiliane na unyanyapaa unaohusishwa na kujiua.

Zifuatazo ni njia zinazoweza kukusaidia ukabiliane na mawazo.

  • Eleza jinsi unavyohisi.
  • Wasiliana na wenzako.
  • Jikinge.
  • Jihudumie vyema.
  • Usijilaumu.
  • Wewe ni binadamu na unakubaliwa kulia na kuhuzunika.
Sources
  • Felicitas Heyne, Psychologist
  • Audiopedia ID: sw020918