Jinsi gani naweza kufanya mbinu zote za kiasili za upangaji uzazi kufanikiwa

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Jinsi_gani_naweza_kufanya_mbinu_zote_za_kiasili_za_upangaji_uzazi_kufanikiwa

Ili mbinu za kiasili za upangaji uzazi kufanikiwa:

  • Husika na tendo la ngono kati ya wakati mwili wako hauwezi kushika mimba na siku zako za hedhi zijazo.
  • Tumia mbinu ya kamasi na ile ya kuhesabu siku kwa wakati mmoja.
  • Tumia kondomu/mpira wakati wowote ule hauna uhakika ikiwa mwili wako uko tayari kushika mimba, au usishiriki tendo la ngono.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020508