Napaswa kufanya nini kuzuia mimba

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Napaswa_kufanya_nini_kuzuia_mimba

Mimba yaweza kuzuiwa, kama unaweza kuwajibika haraka na utumie dawa za dharura za kupanga uzazi. Unastahili uzitumie haraka iwezekanavyo, lakini si baada ya siku tatu baada ya kubakwa.

MUHIMU: Katika nchi zingine kuavyaa mimba ni salama na inakubalika kisheria kama msichana au mwanamke amebakwa. Muulize mhudumu wa afya au shirika la wanawake kama hii ni kweli katika nchi yako.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020317