Nawezaje kuwazuia watoto wangu kutokana na mshtuko wa kuumizwa na stima

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Nawezaje_kuwazuia_watoto_wangu_kutokana_na_mshtuko_wa_kuumizwa_na_stima

Kuzuia Mshtuko na kuchomeka kutokana na kuguza stima. .

Wafunze watoto dhidi ya kutoweka vidole au vyombo vingine ndani ya soketi ya stima.

Funika soketi za stima kuzuia kuchezewa.

Weka nyaya za stima mbali na watoto

Funika nyaya wazi za stima, zile zaweza kuwa na madhara ukitumia mkanda spesheli.

Sources