Nawezaje kuwazuia watoto wangu kutopata majeraha wanapovuka barabara

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Nawezaje_kuwazuia_watoto_wangu_kutopata_majeraha_wanapovuka_barabara

Wakati wa kuvuka barabara watoto wadogo wanafaa kufunzwa:

  • wasimame kando ya barabara
  • watazame pande zote
  • wasikize magari au vyombo vingine vya usafiri kabla ya kuvuka barabara
  • washikilie mikono ya mtu mwingine
  • wasikimbie ila watembee
  • watumie njia za uvukaji kama wako mijini
  • wasivuke barabara mahali zimepinda au katikati ya magari yaliyoegeshwa.
  • wasivuke barabara ambapo magari yanakwenda kwa kasi
Sources