Ni ipi migogoro ya kifamilia ya kawaida

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Ni_ipi_migogoro_ya_kifamilia_ya_kawaida

Maisha ya sasa yameleta mabadiliko makubwa katika mila na tamaduni za nchi nyingi sana. Kuwa mama mzuri na mke mwema ni suala lililochukuliwa kuwa na umuhimu mkubwa miongoni mwa wanawake ( na wanafamilia wao). lakini siku hizi wanawake wengi hawataki kubaki nyumbani kulea watoto na kufanya kazi za ndani na kuangalia hali za familia zao-wao pia hutaka kufanya kazi ili wapate pesa.

kufanya hivyo huwapa wanawake mzigo wa ziada wa kazi na mara nyingi huwafanya wanawake hao kuwa na ugumu maishani mwao na kukosa maisha yaliyo na amani na upendo na waume watoto, na wanafamilia wao.

Migogoro mingi ya kifamilia wanawake hukabiliana nayo, ni ile ya waume wao, mashemeji na mawifi.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw021002