Ni madhara yepi ya vurugu ya wanaume katika jamii

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Ni_madhara_yepi_ya_vurugu_ya_wanaume_katika_jamii

Katika jamii, vurugu yaweza kusababisha:

1. Marudio ya vurugu kuendelea kwa jamii zijazo. 2. uendelezaji wa dhana potovu kuwa wanaume ni bora kuliko wanawake. 3. ubora wa maisha wa kila mtu huadhirika kwa sababu wanawake hawashiriki katika jamii zao wanapouliwa au kunyamazishwa na vurugu.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020111