Ni wanawake wapi ambao wako katika hatari ya kubakwa

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Ni_wanawake_wapi_ambao_wako_katika_hatari_ya_kubakwa

Mwanamke yeyote anaweza kubakwa, lakini kuna uwezekano mkubwa ikiwa yeye:

  • mlemavu - anatumia kiti cha miguu, kiziwi, kipofu au ana akili punguani.
  • ni mkimbizi, mhamiaji, ni mkimbizi wa ndani kwa ndani au anaishi mahali ambapo kuna vita.
  • anaishi mitaani au hana makao.
  • ni kahaba.
  • ametiwa nguvuni au yuko jela.
  • anadhulumiwa na mumewe au mpenzi wake.

Mbakaji huwaona wanawake wakiwa lengo rahisi kwani hawana ulinzi kutoka kwa jamii.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020303