Njia za kiasili za upangaji uzazi hufanya kazi vipi

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Njia_za_kiasili_za_upangaji_uzazi_hufanya_kazi_vipi

Zipo aina tatu za kuzuia uja uzito ambazo hazihitaji vifaa au kemikali (kwa njia za kuzuia) au madawa.

  • Njia hizi ni; Kunyonyesha mtoto kwa miezi sita ya kwanza.
  • Njia ya kamasi
  • Njia ya kuhesabu siku za mwezi

MUHIMU: Njia asili za upangaji uzazi hazikingi dhidi ya magonjwa ya zinaa na ukimwi. Ukitumia njia yoyote ya kiasili iliyotajwa hapa, tafakari jinsi ya kujikinga kutokana na magonjwa haya.

Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020502