Sababu gani za kawaida zinazosababisha majeraha kutokana na kuanguka

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Sababu_gani_za_kawaida_zinazosababisha_majeraha_kutokana_na_kuanguka

Watoto wengi huanguka wanapojifunza kutembea, kukimbia na kuruka. Kuanguka huku huleta alama ndogondogo na vidonda kwa mwili. Wakati mwingine kuanguka husababisna kuvunjika mifupa, kuwa na maumivu kichwani na pia maumivu mengine mengi, na hata kifo.

Watoto wachanga wanaoachwa pekee yao wanaweza kuaguka kutoka kwa kitanda, cots au hammocks. watoto wachanga wanaweza kuanguka kutoka kwa ngazi, dirishani au katika ua la nje.

Watoto hupenda kupanda. Wanaweza kujidhuru vibaya ikiwa wataanguka kutoka mahali palipo juu, au wakijaribu kupanda juu ya fanicha nzito zinazoweza kuwaangukia.

Sources