Wakati upi unyonyeshaji mtoto sio njia salama ya upangaji uzazi

From Audiopedia - Accessible Learning for All
Jump to: navigation, search
QR for this page

https://www.audiopedia.org/Wakati_upi_unyonyeshaji_mtoto_sio_njia_salama_ya_upangaji_uzazi

Tumia njia nyingine ya upangaji uzazi iliyo salama na unyonyeshaji mtoto wakati yafuatayo yanapotokea;

  • Mtoto amefikisha zaidi ya miezi sita tangu azaliwe.
  • Siku zako za hedhi zinapoanza.
  • Mtoto anopoanza kunywa maziwa mengine kando na ya mama au anapoanza kula vyakula vingine au anapoanza kulala zaidi ya masaa sita usiku au
  • Utakapokuwa mbali na mtoto zaidi ya masaa sita na huwezi kutoa maziwa kutoka kwa matiti kwa wakati huo.
Sources
  • Burns, A. A., Niemann, S., Lovich, R., Maxwell, J., & Shapiro, K. (2014). Where women have no doctor: A health guide for women. Hesperian Foundation.
  • Audiopedia ID: sw020504